Nenda kwa yaliyomo

Mto Nkusi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 14:06, 14 Agosti 2019 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Mito na maziwa ya Uganda.

Mto Nkusi unapatikana magharibi mwa Uganda (wilaya ya Kakumiro na wilaya ya Kibaale).

Maji yake yanaingia katika ziwa Albert. Katikati ya mwendo wake yanachanganyikana na ya mto Kafu kwa sehemu fulani.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]