Nenda kwa yaliyomo

Arubaini na tisa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 13:32, 12 Februari 2017 na MCDONALN ALOYCE FUTE (majadiliano | michango)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Arubaini na tisa au tisa na arubaini au arobaini na tisa au arobaini na kenda ni namba inayoandikwa 49 kwa tarakimu za kawaida na XLIX kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 48 na kutangulia 50.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 7 x 7.

Matumizi

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arubaini na tisa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.