Nenda kwa yaliyomo

Ciro Immobile

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ciro Immobile
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaItalia Hariri
Nchi anayoitumikiaItalia Hariri
Jina katika lugha mamaCiro Immobile Hariri
Jina halisiCiro Hariri
Jina la familiaImmobile Hariri
PseudonymIl bomber Hariri
Tarehe ya kuzaliwa20 Februari 1990 Hariri
Mahali alipozaliwaTorre Annunziata Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKiitalia Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuForward (association football) Hariri
MakaziRoma Hariri
Muda wa kazi2009 Hariri
Mwanachama wa timu ya michezoBeşiktaş J.K. Hariri
Mchezompira wa miguu Hariri
Namba ya Mchezaji17 Hariri
Ameshiriki2014 FIFA World Cup, UEFA Euro 2016, UEFA Euro 2020 Hariri
LigiBundesliga Hariri
Tuzo iliyopokelewaKnight of the Order of Merit of the Italian Republic Hariri
Immobile akiwa na mpira (2014).

Ciro Immobile (Matamshi ya Italia: [ˈtʃiːro imˈmɔːbile]; alizaliwa 20 Februari 1990) ni mchezaji wa soka wa Italia ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Lazio na timu ya taifa ya Italia.

Alianza kazi yake huko Sorrento. Mnamo 2009, alinunuliwa na Juventus, kisha akatolewa kwa mkopo kwenda Genoa mwaka 2012. Baada ya msimu mmoja katika klabu, alihamia kwa wapinzani wa Juventus FC Torino. Huko Torino, alishinda tuzo ya Capocannoniere kama mfungaji bora katika Serie A, ambapo alifunga mabao 22 katika michezo 33. Baada ya msimu ule huko Torino, aliuzwa kwenda klabu ya Ujerumani Borussia Dortmund kwa ada ya milioni 18.


Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ciro Immobile kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.