Historia andishi
Mandhari
Historia andishi ni kipindi cha historia ya binadamu kuanzia walipobuni uandishi miaka 3,300 hivi KK huko Mesopotamia.
Hatua hiyo imewezesha kutunza kumbukumbu kwa makusudi na hivyo kuchangia sana maendeleo ya fani ya historia.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Tosh, John (2006). The Pursuit of HIstory (tol. la 4th). Pearson Longamn. ISBN 9781405823517.
- Russo, Stan (2005). The 50 Most Significant Individuals in Recorded History. Inklings Press. ISBN 0975912992.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Historia andishi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |