Shinji Okazaki
Mandhari
Shinji Okazaki (岡崎 慎司; alizaliwa 16 Aprili 1986) ni mchezaji wa soka wa Japani ambaye anachezea klabu ya Uingereza Leicester City FC na timu ya taifa. Yeye hucheza kama kiungo au mshambuliaji.
Nchini kwake, yeye ni mshambuliaji wa kwanza mwenye nguvu na ndiye mwenye magoli mengi kuliko washambuliaji wote wa Japani waliowahi kutokea. Pia aliisaidia timu yake ya Leicester mwaka 2016 kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya Uingereza.
Takwimu
[hariri | hariri chanzo]Timu ya Taifa ya Japani | ||
---|---|---|
Mwaka | Mechi | Magoli |
2008 | 4 | 0 |
2009 | 16 | 15 |
2010 | 15 | 3 |
2011 | 14 | 8 |
2012 | 9 | 3 |
2013 | 14 | 7 |
2014 | 13 | 4 |
2015 | 13 | 7 |
2016 | 8 | 2 |
2017 | 5 | 1 |
2018 | 5 | 0 |
2019 | 3 | 0 |
Jumla | 119 | 50 |
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Shinji Okazaki at National-Football-Teams.com
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shinji Okazaki kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |