Swala ya Ijumaa
Sehemu ya mfululizo wa makala juu ya |
Imani na ibada zake |
Umoja wa Mungu |
Waislamu muhimu |
Abu Bakr • Ali |
Maandiko na Sheria |
Qur'an • Sunnah • Hadithi |
Historia ya Uislamu |
Historia |
Tamaduni za Kiislamu |
Shule • Madrasa |
Tazama pia |
Swala ya Ijumaa (kwa Kiarabu صَلَاة ٱلْجُمُع) ni sala ya kila wiki ya Waislamu inayofanyika kila Ijumaa wakati wa Adhuhuri katika kipindi cha Swala ya Dhuhri.
Kwa kawaida, Waislamu hufanya swala katika vipindi vitano vya siku hii ikiendana kabisa na mwendo wa jua kulingana na eneo husika.[1]
Katika Quran
[hariri | hariri chanzo]Quran inasema yafuatayo juu ya swala ya Ijumaa: "Enyi mlio amini, Kukiadhiniwa kwa ajili ya swala ya Ijumaa, nendeni upesi kumtaja Mwenyezi Mungu, na muacheni biashara zenu, kwani kufanya hivyo ni bora ikiwa mnajua". Suratul Jummuah aya ya 62[2]}}
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |